Friday, December 23, 2011

TANGAZO! TANGAZO! TANGAZO!

ASASI YA ACTION MUSIC TANZANIA (AMTZ) YENYE NAMBA YA USAJILI BST/4733 IMEANDAA NA ITAENDESHA MAFUNZO YA MUZIKI (NADHARIA NA VITENDO) KWA WATU WOTE KUANZIA TAREHE 09/01/2012 IDARA YA SANAA NA SANAA ZA MAONESHO (FPA) CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM. USAJILI UNAFANYIKA KATIKA OFISI ZETU (AMTZ) ZILIZOPO SHULE YA MSINGI MWENGE KARIBU NA MARYLAND BAR, KILA SIKU KUANZIA 20/12/2011...