Monday, March 3, 2014

ONESHO LA WAPIGA ALA/VYOMBO VYA MUZIKI KUFANYIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM SIKU YA IJUMAA

Action Music Tanzania inayofuraha ya kukualika kuhudhuria onesho la muziki litakalofanyika siku ya Ijumaa ya tarehe saba mwezi wa tatu (07.03.2014) kwenye idara ya sanaa na sanaa za maonesho (FPA) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia saa kumi na mbili na nusu jioni hadi saa mbili usiku (12:30-2:00), Kiingilio ni bure. Onesho hilo limeandaliwa na AMTZ litawahusisha...