Wednesday, July 2, 2014

Professor J aongea na COSOTA kuhusu utaratibu wa Radio na TV kuwalipa wasanii kwa kucheza kazi zao

Msanii wa Hip Hop, Joseph Haule aka Professor J jana amekitembelea chama cha haki miliki Tanzania, ‘COSOTA’ na kuwauliza kwanini Radio na TV za Tanzania haziwalipi wasanii pindi wanapoziga nyimbo zao kwenye vituo vyao. Professor ameiambia Bongo5 kuwa baada ya kupeleka shauri hilo, wahusika ambao ni COSOTA wamesema bado wapo kwenye vikao kujadili suala hilo. “COSOTA ...