ACTION
MUSIC TANZANIA (AMTZ) YENYE NAMBA YA USAJILI BST/4733 ITATOA MAFUNZO YA UPIGAJI
WA ALA MBALIMBALI ZA MUZIKI (KWA VITENDO) KWA WATU WOTE
MAFUNZO YATAANZA:
TAREHE 16/07/2012
MAHALI: IDARA YA SANAA
NA SANAA ZA MAONESHO (FPA) CHUO
KIKUU CHA DAR ES SALAAM (SEHEMU YA MLIMANI)
KIKUU CHA DAR ES SALAAM (SEHEMU YA MLIMANI)
NJOO UJIFUNZE MBINU ZA KITAALAMU ZA KUPIGA/KUCHEZA GITAA, KEYBOARD/PIANO, TARUMBETA, SAXOPHONE, KONGA, DRUM
SET, NA UPIGAJI WA NGOMA ZA ASILI YA TANZANIA, BILA KUSAHAU MAFUNZO MAALUMU YA “BODY
PERCUSSION” (Matumizi ya mwili kutengeneza midundo ya muziki) NA USOMAJI WA “NOTATION” YATAKAOTOLEWA NA WATAALAM
WALIOBOBEA KATIKA TASNIA YA MUZIKI KUTOKA VYUO MBALIMBALI.
USAJILI UNAFANYIKA: IDARA YA SANAA NA SANAA ZA
MAONESHO (FPA) CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (MLIMANI)
FOMU
ZA USAJILI ZINAPATIKANA
FPA
SAA 4:00 ASUBUHI HADI SAA 10:00 JIONI KWA GHARAMA YA SHILINGI 3000/= TU. WAHI,
NAFASI NI CHACHE.
KWA
MAWASILIANO: +255 757 361 266
+255
714 553 239
+255
755 058 045
E-mail:
actionmusictz@yahoo.com/mandolintz@yahoo.co.uk/mpepodamas@gmail.com
www.actionmusictz.blogspot.com
NYOTE MNAKARIBISHWA
0 comments:
Post a Comment